Katika kipindi chake cha mapumziko (sabbaticum) amecharaza mawazo yake katika kijitabu hiki kwa kusudi la kuwaonjesha uhondo wa pumziko la mtu mchungaji wale wenzake makasisi na wengine wowote wanaotamani kupumzika katikati ya majukumu yao ya kiimani na hata yale ya kijamii. Kwa Watanzania wote, kwa mujibu wa zama za awamu ya tano, HAPA KAZI TU, naam, pata pia wasaa wa kupumzika. Kisha unasonga mbele kazini. Kweli, “In der Ruhe liegt die Kraft“, ni kusema, katika pumziko unachota nguvu.
Book Details: |
|
ISBN-13: |
978-613-8-24740-1 |
ISBN-10: |
613824740X |
EAN: |
9786138247401 |
Book language: |
English |
By (author) : |
Anacletus Ngenza |
Number of pages: |
72 |
Published on: |
14.09.2018 |
Category: |
Religion / Theology |