Have you written a master thesis or a bachelor thesis?

Then GlobeEdit has the right offer for you.

We will publish your research!
More infos >

Login


Forgot your password?


Subscribe to our mailing list

Kilio Cha Mwafirika Ndani Ya Utandawazi

Kilio Cha Mwafirika Ndani Ya Utandawazi

Nani Atatuvabua Toka Lindi La Utandawazi

GlobeEdit ( 2019-02-20 )

€ 79,90

Buy at the MoreBooks! Shop

Mwanafalsafa mmoja maarufu duniani alisema , “ UONGO UKIRUDIWARUDIWA MARA NYINGI HUONEKANA NA KUKUBALIKA KUWA NI UKWELI” Hii ni falsafa iliyotumika na mtawala katili wa wajermani Adolf Hittler kuwadanganya wananchi wake kuwa Wayahudi ni taifa hatarishi lililostahili kuangamizwa kuinusuru Ujermani kupoteza heshima yake kiuchumi kijeshi na kiutamaduni.Huu ulikuwa wakati wa maandalizi ya vita kuu ya pili ya dunia iliyoanza mwaka 1939—1945.Matokeo ya matumizi ya falsafa hii ni kuangamizwa kwa wayahudi milioni sita na zaidi katika kipindi kifupi. Falsafa hii potofu ndio iliyotumika na wanahistoria wabaguzi na vikaragosi wao kupotosha historia ya afrika na kudai kuwa kabla ya ujio wa wakoloni Afrika haikumjua Mungu. haikuwa na ustaarabu wowote na kuwa Afrika lilikuwa bara la giza,Sura iliyoonekana ni ya umaskini na ufukara uliopindukia.Lakini kama ilivyo ada penye ukweli uongo hujitenga. Kitabu hiki kitakupatia ukweli ,uhalisia na mtazamo chanya wa Afrika ya jana, leo na kesho.Hakika hutajutia fedha yako kukipata na kukisoma kitabu hiki. Macho na masikio vyote duniani vinaelekeezwa Afrika

Book Details:

ISBN-13:

978-613-9-41297-6

ISBN-10:

6139412978

EAN:

9786139412976

Book language:

English

By (author) :

Thomas Ngatigwa

Number of pages:

344

Published on:

2019-02-20

Category:

Other